Jeremiah 9:22

22 aSema, “Hili ndilo asemalo Bwana:

“ ‘Maiti za wanaume zitalala
kama mavi katika mashamba,
kama malundo ya nafaka nyuma ya mvunaji,
wala hakuna anayekusanya.’ ”
Copyright information for SwhNEN